Header Ads

DIAMOND PLATNUMZ KUMLETA HASIMU WA ZARI DAR

Diamond Platnumz ni mfanyabiashara kwenye muziki asiyeogopa ‘kutake risk’ kwaajili ya kukamilisha azma yake, hata kama uamuzi atakaouchukua unaweza ukaleta mzozo ndani ya familia yake.


Katika kunogesha tamasha lake kubwa la Wasafi Beach Party, hitmaker huyo anamdondosha hasimu mkubwa wa mchumba wake Zari, Huddah Monroe. Kama umesahau, Huddah aliwahi kuingia kwenye bifu kali na Zari baada ya kudai kuwa amewahi kutembea na Diamond na kwamba staa huyo ni ‘mali ya umma.’

No comments

Powered by Blogger.