Faru John Azidi Kuibua Mzozo.
Wahifadhi wa eneo la Sasakwa Singita Grumet ambako ndipo
alipohamishiwa Faru John wamesema kuwa hakuna kaburi la Faru huyo kwa
kuwa hakuzikwa, wamesema kitaalamu wanyama ambao wanakufa bila kuwa na
magonjwa ya mlipuko katika maeneo ya hifadhi hawazikwi.
- Wamesema Faru John baada ya kufa aliondolewa pembe zake na kutupwa ili kiwe chakula cha wanyama wengine wanaotegemea mizoga, lakini kuna mifupa yake
- Wamesema Faru John baada ya kufa aliondolewa pembe zake na kutupwa ili kiwe chakula cha wanyama wengine wanaotegemea mizoga, lakini kuna mifupa yake
No comments