MANENO ya Mourinho Kuhusu Kubakia Man United Kama Atapewa Mkataba Mpya
Kocha wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amefunguka kuwa
anataka kubakia katika kalbu hiyo kwa muda mrefu zaidi kwa kuwa anapenda
maisha yake na timu hioyo.
Mourinho ambaye kwsasa ana umri wa miaka 53, alijiunga na klabu hiyo mwezi Julai, na sasa wako katika nafasi ya sita katika jedwali la ligi baada ya mechi 17.
Najua kwamba ipo siku moja wataleta mkataba mpya, nitatia saini. alisema Mourinho wakati akingea na waandishi.
Mourinho pia amesema kwamba hatoelekea kufanya kazi nchini China , japokuwa amekiri kwamba fedha za China zinavutia kila mtu.
Nataka kusalia katika timu yenye changamoto kubwa ya kujipatia ushindi

No comments